Product Labels
Glossy na waterproof product labels kwa bidhaa na packaging za biashara.
KP GROUP TANZANIA tunakusaidia kuleta bidhaa na biashara yako kwenye mwonekano wa kisasa kupitia printing na branding yenye umakini.
Tumeweka huduma muhimu za KP GROUP kwenye website moja ili mteja aone, achague na kutuma ombi la quotation.
Glossy na waterproof product labels kwa bidhaa na packaging za biashara.
Printing ya T-shirt kwa biashara, events, teams na promotional campaigns.
Menu books zenye mpangilio wa kisasa kwa restaurant, cafe na hospitality.
Printing ya materials za biashara kwa quality na presentation nzuri.
Muonekano wa biashara unaosaidia brand yako kuwa consistent na kukumbukwa.
Una kazi maalum? Tuma details, quantity na artwork yako kupitia quotation form.
Website hii ni mlango wa wateja. Staff Portal imewekwa tofauti ili taarifa za mauzo, wafanyakazi na biashara zisichanganywe na public website.
Jaza taarifa za kazi yako. Tuma taarifa za kazi yako kwa KP GROUP TANZANIA. Tutatumia maelezo yako kuandaa quotation ya huduma unayohitaji.
Dar es Salaam, Temeke
0756870001 · 0765973460